Project Details

show poster

Client

Foxton Media

Awards

None

Category

Podcast

Synopsis

Licha ya kupewa kashfa na kudharauliwa na wananchi kila siku, maaskari wetu wa vikosi vyote kuanzia askari polisi, askari wa trafiki, askari jela na majeshi yote anga, maji na nchi kavu na hata askari wa vitengo vya kibinafsi visivyokuwa vya kiserikali vinavyoweka usalama majumbani mwetu, barabarani, mabenki, hospitali, jelani, mipakani na mwenginepo, sio wakati wa asubui, mchana au usiku wanapojitolea kwa kila hali,wakati wa mvua, jua, baridi au upepo mkali na kuziacha familia zao ili kutulinda na kuacha tukiwa salama, hakuna anayejali shida wanazopitia badala yake ni kuzidi kuwalaumu.” NI WAKATI WA KUWASHUKURU”

Share Project